Kaimu Mkurugenzi na Mkuu wa idara ya Mipango na uratibu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Ndugu Kalila Mohamed King amewataka wataalamu na watendaji wa Kata na Mitaa kamati za ufuatiliaju na utekelezaji ziliopo kwenye Mitaa 28 ya Manispaa kutumia mfumo wa manunuzi ya Serikali( NEST) kufanya Manunuzi ya vifaa wanavyovitumia katika ujenzi wa Miradi ya maendeleo iliyoibuliwa na walengwa wa TASAF
Ndugu Kalila King ametoa wito huo leo Februari 24. 2024 katika uzinduzi wa mafunzo ya manunuzi ya Serikali yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kigamboni uliopo Kata ya Somangila Manispaa ya Kigamboni.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa