• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Kituo cha Afya Tundwi Songani.

Start Date: 2021-10-14
End Date: 2022-05-31

Kituo cha Afya Tundwi Songani kinajengwa katika Kata ya Pembamnazi, ambayo ni miongoni mwa Kata 9 zinazounda Wilaya ya Kigamboni. Kituo hiki kipo umbali wa kilometa 52 kutoka Ofisi ya Manispaa ya Kigamboni. Lengo la kujenga Kituo hiki ni kuwapunguzia wananchi kero ya kutembea umbali mrefu kufata huduma za afya katika Kata na Wilaya Jirani ya Mkuranga.

Kituo cha Afya Tundwi Songani kimepokea jumla ya Tsh. 500,000,000.00 kutoka Serikali Kuu. Mradi huu ulihusisha nguvu za wananchi kwa kutoa eneo la Ekari 9 lenye thamani ya Tsh. 54,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya ili kusogeza na kuboresha huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo na walioko karibu na Kata ya Pembamnazi.

Utekelezaji wa Mradi huu wa Kituo cha Afya Tundwi Songani unahusisha ujenzi wa majengo manne (4) ambayo ni; Jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Wodi ya wazazi, Jengo la Upasuaji Pamoja na Maabara.  Utekelezaji ulianza mwezi Oktoba, 2021 na unatarajiwa kukamilika mwezi Mei, 2022, kwa kutumia utaratibu wa ‘Force Account’. Hadi kufikia sasa mradi upo asilimia 85.5% ya utekelezaji kwa majengo yote na jumla ya kiasi cha Tsh. 464,553,031.85 zimetumika. Hatua ya ujenzi iliyofikiwa ni uwekaji wa skimming katika majengo yote.

Mradi utakapokamilika unatarajiwa kuhudumia jumla ya wakazi 8500, waliopo katika Kata ya Pembamnazi, Kata jirani na wakazi kutoka Wilaya ya Mkuranga. Aidha miongoni mwa faida zitakazopatikana ni pamoja na kusogeza huduma za afya karibu na wakazi wa eneo hilo, kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi kwa kina mama wajawazito, vifo vya watoto wachanga na vifo vya watoto chini ya miaka mitano.


Jengo la OPD kushoto na Maabara  kulia 


Jengo la wazazi


Muonekano wa majengo matatu kwa mbali


Kituomcha Afya tundwi songani kiliwekwa jiwe la Msingi na Mkimbiza Mwenge kitaifa wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mei 13, 2022

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili Dereva daraja II na Katibu Mahsusi daraja III June 21, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa Mahojiano kwa Dereva daraja II na Katibu Mahsusi daraja III June 27, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni May 24, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi kukusanya Taarifa za anwani za Makazi na Postikadi February 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji Kata, Mitaa na wakusanya data watakiwa kuwamakini kwenye zoezi la Uhakiki wa Anwani za makazi.

    June 30, 2022
  • RC Makalla aipongeza Kigamboni kwa Hati safi miaka 5mfululizo

    June 28, 2022
  • WATUMISHI MANISPAA YA KIGAMBONI WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA KANUNI KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

    June 22, 2022
  • Jukumu la Ulinzi wa watoto ni letu sote; DC Fatma

    June 16, 2022
  • Angalia Zote

Video

RC Makalla aipongeza Kigamboni kwa Hati safi miaka 5 mfululizo
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa