• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Wafanyabiashara Kigamboni watakiwa kupanga vizuri bidhaa xao

Posted on: November 25th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe @dalmia amewataka wafanyabiashara wote ndani ya Manispaa ya Kigamboni kupanga bidhaa zao kwa kufuata utaratibu mzuri ili kuiweka Wilaya ya Kigamboni katika hali ya usafi na kuepuka magonjwa ya mlipuko yanaweza kuibuka kutokana na uchafu.


Mhe Dalmia ametoa agizo hilo leo Novemba 25. 2025 katika kikao chake na viongozi wa Taasisi za Serikali, viongozi wa makundi mbalimbali ya kijamii pamoja na wadau wa Mazingira kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi yake kwa lengo la kujadili maswala mbalimbali ya kiusalama pamoja na hali ya usafi wa mazingira.


Akizungunza katika kikao hicho amezitaka wakala wa barabara Tanzania (TANROAD) pamoja  na wakala wa barabara Mjini na vijijini (TARURA) Wilaya ya Kigamboni kuhakikisha wanafanyausafi kwenye barabara wanazozisimamia huku akiwataka kutekeleza majukumu yao kwa weledi.


Aidha amewataka viongozi wa makundi ya kijamii kama vile Bodadoda na Bajaji, Daladala, Machinga, Mama na Baba lishe  kuhakikisha wanaweka utaratibu mzuri wa kushughulikia changamoto za wanachama wao na sio kukimbilia Serikalini ili kutoa malalamiko.


Kikao hicho ni mfululizo wa ratiba ya  Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni aliyoiweka ili kukutana na viongozi pamoja na makundi mbalimbali kwa lengo la kutoa maelekezo.



Matangazo

  • Tangazo la uuzaji wa Viwanja September 30, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wafanyabiashara Kigamboni watakiwa kupanga vizuri bidhaa xao

    November 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA “KIJIWE KWA KIJIWE”, AWASISITIZIA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 02, 2025
  • RC CHALAMILA AKABIDHI MAGARI 2 KWA WAKUU WA WILAYA, KIGAMBONI NA UBUNGO

    September 22, 2025
  • WATENDAJI KIGAMBONI WATAKIWA KUWASHIRIKISHA WANANCHI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    September 08, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor