katika kuhakikisha vijana wanajikwamua kiuchumi vijana wapato 20 wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wamepatiwa mafunzo ya matumizi ujenzi wa kitalu nyuma (Green house) katika kituo cha mafunzo cha rasilimali kilimo kilichopo Gezaulole kwa ufadhili wa Ofisi ya Waiziri Mkuu Sera, Vijana , Ajira na watu wenye ulemavu.
PICHA ZIFUATAZO ZINAONESHA VIJANA WAKIWA KWENYE ZOEZI LA UFUNGAJI KITALU NYUMBA KUANZIA HATUA YA KWANZA HADI YA MWISHO.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa