Picha za matukio yaliyojiri katika mbio maalumu za mwenge wa uhuru 2021 ambapo jumla ya miradi 7 ilitembelewa, kukaguliwa na kuwekewa jiwe la msingi. Aidha kiongozi wa mbio maalumu za mwenge wa uhuru mwaka 2021 LT. Josephine Paul Mwambashi ameipongeza wilaya ya Kigamboni kwa usimamizi mzuri wa miradi na amekagua kuzindua na kuweka jiwe la msingi katika miradi yote 7
Kiongozi wa mbio maalumu za mwenge wa uhuru LT. Josephine Paul Mwambashi akipanda Mti katika jengo la mdhiti ubora wa elimu.
Wakimbiza mwenge wakikagua mradi wa barabara ya Azimio inayoelekea makao makuu ya Manispaa ya Kigamboni
Mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Godwin Gondwe akijiandaa kukakabidhi mwenge wa uhuru kwa mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe Fatma Almasi Nyangassa
Kiongozi wa mbio maalumu za mwenge akikagua barabara
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa