• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

MIRADI ELIMU MSINGI YAKAMILIKA

Posted on: September 28th, 2022

IJUE MIRADI YA ELIMU MSINGI ILIYOKAMILIKA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI


Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imeendelea kutekeleza maagizo ya serikali ya kutenga fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 kupitia mapato yake ya ndani kukamilisha miradi kadhaa ya elimu msingi katika Manispaa hiyo na miradi mingine ikiendelea kutekelezwa.


Katika kata ya Pembamnazi Manispaa imejenga na kukamilisha ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Buyuni ambapo hadi kufikia juni 2022 mradi huo ulikuwa umekamikika na kuanza kutumika kiasi cha shilingi mil.40 zimetumika ,pia mil.54,720,000 zimetumika kujenga madarasa 3 katika shule ya msingi Kichangani   na madawati 60 yametengenezwa.


Aidha katika kata ya Kigamboni Manispaa imemalizia ujenzi wa madarasa 2 na ujenzi wa darasa 1  shule ya msingi Rahaleo pamoja na utengenezaji wa madawati 50 .Jumla ya shilingi mil.40 zimetumika.


Kata nyingine ni kata ya Kimbiji ambapo limejengwa darasa 1 na madawati 25 yametengenezwa na mradi umekamikika na kuanza kutumika Jumla ya shilingi mil.20 zimetumika.


Kwa upande wa kata ya Mjimwema shule ya msingi Kibugumo umaliziaji wa ujenzi wa madarasa 2 umefanyika na madawati 50 yametengenezwa na kuanza kutumika.Gharama iliyotumika ni mil.27,413,900.


Kata ya Vijibweni ujenzi wa umaliziaji madarasa 2 umefanyika katika shule ya msingi Kisiwani,Jumla ya mil.30,143,500 zimetumika na madawati 50 yametengenezwa.


Kata ya Kisarawe II Shule ya Msingi Chekeni Mwasonga Halmashauri imetoa kiasi cha shilingi mil.44,024,000 kwa ajili ya umaliziaji wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum ambapo fedha zingine zilitoka serikali kuu kiasi cha shilingi mil.80.


Utengenezaji wa Madawati 505 umefanyika katika kata ya Kibada ambapo shule zifuatazo zimenufaika na madawati hayo,shule hizo ni shule ya msingi Darajani,Ungindoni,Kibugumo,Mbutu, Vijibweni,Vumilia ukooni,Gomvu,Kimbiji,Kijaka,Kisarawe II,Mizimbini,Juhudi na Kibada.Jumla ya shilingi millioni 48 zimetumika.


Hongera Mkurugenzi na Menejimenti kwa kukamilisha miradi hii.


IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI KGMC.

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • MANISPAA YA KIGAMBONI IMEPOKEA VITI MWENDO 35 NYENYE THAMANI YA TSH MIL 8

    April 08, 2025
  • MKANDARASI TOKA SUMA JKT ATAKIWA KUANZA MAPEMA MAANDALIZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA TUNGI

    April 08, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amefanya ziara ndani ya Manispaa ya Kigamboni

    March 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa