• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Manispaa ya Kigamboni yashauriwa kubuni vyanzo vipya vya Mapato

Posted on: August 30th, 2023

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kigamboni Mhe. Ernest Mafimbo ameushauri uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kubuni vyanzo vipya vya Mapato kwa lengo la kuongeza Mapato ya ndani ya Manispaa yanayotokana na makusanyo toka vyanzo mbalimbali.


Mhe Mafimbo ametoa ushauri huo mchana wa leo tarehe 30/08/2023 katika Mkutano wa Baraza maalumu la Madiwani lilifanyika kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya hesabu za Mwisho kwa mwaka wa fedha unaoshia 30/06/ 2023.


"Wataalamu bado wananafasi ya kuongeza mapato pale wanapopata changamoto wanaweza kuwashirikisha Madiwani ili kufanya vizuri zaidi." Mstahiki Meya alisema.


Aidha ameupongeza uongozo wa Manispaa kwa kusimamia vizuri mapato na miradi ya Maendeleo na kuifanya Manispaa ya Kigamboni kupata hati Safi kwa mwaka huu wa fedha hivyo kuifanya Manispaa kupata hati safi mara 6 mfululizo tangu kuanzishwa kwake.





Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Dereva daraja la II mwandishi mwendesha ofisi daraja la II na msaidizi wa kumbukumbu daraja la II September 19, 2023
  • Tangazo la kuitwa kazini kwa nafasi ya dereva daraja la II mtunza kumbukumbu daraja la II na mwendesha ofisi daraja II September 27, 2023
  • Tangazo la mnada Manispaa ya Kigamboni February 22, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji waagizwa kuandaa Mkakati wa uzoaji taka

    September 26, 2023
  • Mama lishe na Baba lishe wamshukuru Mhe. DC kwa kutatua na kusikiliza kero zao

    September 25, 2023
  • Wananchi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutunza vyanzo vya maji

    September 22, 2023
  • Wataalamu idara ya Ardhi watakiwa kutekeleza Mradi wa uboreshaji usalama wa Milki za Ardhi kwa vitendo

    September 19, 2023
  • Angalia Zote

Video

RC CHALAMILA KUKOMESHA UTAPETILI WA ARDHI
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa