• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Madiwani wilaya ya kigamboni limewasilisha taarifa za kata kwa robo ya tatu kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Posted on: May 23rd, 2024
Kikao hiko Madiwani waliwaslisha taarifa za utekelezaji wa shughuli mbali mbali katika kata zao huku wakiainisha changamoto na namna wanavyokabiliana kuzitatua ili kuleta ustawi kwa wananchi katika maeneo husika.


Diwani wa kata ya kibada Mhe. Mzuri Sambo alielezea changamoto ya miundo mbinu hususani ya bara bara inayopelekea kukwamisha baadhi ya shughuli za maendeleo katika maeneo kadhaa ndani ya kata hiyo¹


Naye Diwani wa kata ya Vijibweni Mhe. Zacharia Mkundi amemuomba Mkurugenzi mtendaji kuangalia namna anavyoweza kuelekeza fedha kwenye ukarabati wa bara bara ikiwa utekelezaji wa suala hilo hautathiri uendelezaji wa  shughuli za maendeleo ndani ya Manispaa.


Hata hivyo swala la uharibifu wa bara bara limekua  changamoto kwa kata zote za wilaya ya kigamboni kutokana na mvua zilizonyesha huku likimuinua mkurugenzi mtendaji na kaimu Meneja wa TARURA katika kueleza namna mipango ndani ya wilaya inavyotekelezwa kwenye utatuzi wa changamoto hiyo.


Akizungumza Mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya Kigamboni Ndg Erasto Kiwale alisema tayari  wamejipanga kuendeleza ujenzi wa bara bara hizo huku wakiwa tayari wameandaa kikao kitakachoketi kujadili na kuchanganua namna watavyo anza utekelezaji kwa maeneo yatakavyoainishwa.


Aidha Mkurugenzi Kiwale amewataka watemdaji wa kata kuweka vipaumbele katika utekelezaji wa majukumu katika maeneo yao huku akiwaonya kuacha kusubiri maelekezo ya  nini wafanye kutoka ngazi ya Manispaa.


Sambamba na hilo Kaimu Meneja TARURA Enginia Edger Tumsifu amesema tayari jitihada za kufanya ukarabati kwa maeneo korofi zinaendele huku akiainisha kuanzishwa kwa ujenzi wa bara bara zinazounganisha kibada na kisarawe II na ameainisha  hatua zilizofikiwa ikiwemo kukamilika kwa mchakato wa kumpata mkandarasi wa ujenzi wa barabara hizo.

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • MANISPAA YA KIGAMBONI IMEPOKEA VITI MWENDO 35 NYENYE THAMANI YA TSH MIL 8

    April 08, 2025
  • MKANDARASI TOKA SUMA JKT ATAKIWA KUANZA MAPEMA MAANDALIZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA TUNGI

    April 08, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amefanya ziara ndani ya Manispaa ya Kigamboni

    March 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa