• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

KATIBU TAWALA WILAYA YA KIGAMBONI AWAUNGA MKONO WAJANE, ATOA PONGEZI KWA USHIRIKI WAO KWENYE MAENDELEO

Posted on: June 23rd, 2025

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigamboni, Bi Pendo Mahalu, ametoa pongezi kwa kundi la wajane kwa namna wanavyojitoa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo ndani ya Halmashauri, akisema kuwa kundi hilo limekuwa mfano wa kuigwa wilayani humo.


Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wajane Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mji Mwema, Bi Mahalu alisema kuwa Serikali ya Wilaya ya Kigamboni inatambua na kuthamini juhudi za wajane, hasa katika kushiriki kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi zinazochochea maendeleo ya wananchi.


 “Nawapongeza wajane kwa moyo wa kujitolea. Mmeendelea kuonesha mshikamano na kushiriki kikamilifu katika shughuli mbalimbali kwa manufaa ya jamii yetu. Mmebeba jukumu kubwa la kulea familia zenu na pia kuchangia maendeleo ya wilaya yetu,” alisema Bi Mahalu.


Aidha, alitumia fursa hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuboresha sera, kanuni na miongozo mbalimbali inayolenga kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Alisema kuwa hatua hizo zimefungua fursa nyingi katika sekta ya viwanda, ikiwa ni pamoja na kutoa ajira kwa wananchi na kuwezesha uuzaji wa malighafi zinazozalishwa Kigamboni.


Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Wajane wa Wilaya ya Kigamboni, Bi Maimuna Kihiyo ameipongeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa namna inavyowawezesha na kuwapa ushirikiano katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili.

 “Tunaishukuru sana Halmashauri yetu kwa kutupa nafasi na kutusikiliza tunapohitaji msaada. Ushirikiano huu umetuwezesha kuwa na ujasiri wa kushiriki katika shughuli za maendeleo na kutafuta fursa za kiuchumi,” alisema mwenyekiti huyo.

Naye mdau wa maendeleo wa Wilaya ya Kigamboni, Ndugu Dotto Rweikiza, amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza kusaidia makundi maalumu katika wilaya hiyo ili kuwapa motisha na kuwawezesha kiuchumi. Amesema kuwa msaada huo utasaidia kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika shughuli za maendeleo na kupunguza utegemezi.

@maendeleoyajamii @gwajima

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KATIBU TAWALA WILAYA YA KIGAMBONI AWAUNGA MKONO WAJANE, ATOA PONGEZI KWA USHIRIKI WAO KWENYE MAENDELEO

    June 23, 2025
  • Watumishi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutoa huduma bora kwa Wananchi

    June 13, 2025
  • Manispaa ya Kigamboni yatwa Makombe 9 UMITASHUMTA na 15 UMISSETA ngazi ya Mkoa

    June 12, 2025
  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa