• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Dc kigamboni azungumza na baraza la ushauri la wazee

Posted on: February 21st, 2023

Mkuu wa wilaya ya Kigamboni mh. HALIMA Bulembo  amekutana na baraza la ushauri la wazee kwa lengo la kupata ushauri, kusikiliza changamoto pamoja na kujua mambo kadha wa kadha yahusuyo wazee.

Akizungumza  wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya  Kepteni mstaafu  Samweli Ngasa amewasilisha changamoto ya miundo mbinu ya  bara bara ikiwemo ukosefu wa mitaro ya kupitisha maji machafu

Aidha  Brigedia mstaafu Haroon Othumani  Mwenyekiti wa baraza la wazee wilaya  amemuomba Mkuu wa Wilaya  kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa Manispaa kuwepo na ushiriki rasmi wa wazee katika vikao vya Baraza la Madiwani ili waweze kupata wasaa wa kutoa mawazo yao.

Akijibu hoja ya kutoshirikishwa kwenye  vikao vya baraza Mh. Bulembo alisema "Nitamuelekeza

Mkurugenzi kusimamia swala la wazee kushiriki  vikao vya mabaraza ya Madiwani, kwa kuwa si jambo kubwa sana na wala halitagharimu chochote zaidi uwepo wenu utatuongezea maarifa ndani ya mabaraza hayo"

Akimalizia Mh Mkuu wa Wilaya aliwataka wazee kuwa na subra wakati akiendelea kufanyia kazi changamoto zote walizowasilisha ikiwemo kuongezewa idadi ya wazee wanaotakiwa kupatiwa kadi za matibabu.

Mkuu wa wilaya ameendelea kufanya vikao na viongozi wa makundi mbali mbali ambapo anatarajia kukamilisha  ratiba hiyo ifikapo Februari 24, 2023.

Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni February 27, 2023
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi Manispaa. Ya Kigamboni vyapokea mikopo

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • DC BULEMBO ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    February 25, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa