• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Kibali cha kusafiri nje ya nchi


Hatua za Kufuata


1. SAJILIWA KWENYE MFUMO

Usajili wa kwenye mfumo unafanywa na Afisa TEHAMA  (kwa waombaji ambao ni watumishi wa Manispaa ya Kigamboni).
Ili usajaliwe yafuatayo yanahitajika:
1.Majina matatu ya muombaji wa kibali
2.Namba ya simu ya muombaji wa kibali
3.Anuani ya barua pepe ya muombaji wa kibali (Inashauriwa kuwa na anuani ya barua pepe ya serikali)
4.Cheo cha muombaji na Idara anayotoka muombaji wa kibali
Afisa TEHAMA atakusajili na kukufundisha namna ya kujaza fomu kwenye mtandao.

2. HUISHA AKAUNTI YAKO YA MFUMO
Bofya hapa kupata  Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi (Travelling Permit System) 

Baada ya kusajiliwa kwenye mfumo, utapokea ujumbe kwenye barua pepe yako (kupitia anuani uliyosajaliwa nayo hapo awali kwenye hatua ya kwanza)
Ujumbe utakupa maelekezo ya namna ya kuingia kwenye mfumo na utakutaka kubadili neno la siri/nywila (password), kisha utaweza kuingia kwenye mfumo na kuanza kufanya maombi ya kibali cha kusafiri nje ya nchi.
MUHIMU: Nywila (password) lazima iwe na sifa neno lenye urefu wa characters nane ambapo ndani yake kuwe na mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo, namba na “special characters - !@$%#” (mfano: Mtanzania123!)

3. INGIA KWENYE MFUMO


Ukifanikiwa kuingia kwenye mfumo, unatakiwa kubonyeza/kuingia kwenye eneo la “kibali cha safari”. Ili ukamilishe eneo hili, mahitaji yafuatayo lazima yatimizwe;
1.Uwe na namba ya  hati ya kusafiria (passport number)
2.Fahamu tarehe ya safari (kumbuka: maombi ya kibali yanatakiwa kufanywa siku 21 au zaidi kabla ya tarehe/siku ya safari.
3.Kama safari inagharamiwa na serikali, fahamu kwa usahihi kiasi cha nauli na posho unayotakiwa kulipwa/kupewa
4.Utapashwa kutoa melezo juu manufaa ya safari yako kwa taifa (kwa ufupi yasizidi maneno 100)
5.Kuwa na barua ya mwaliko
6.Kuwa na barua iliyoidhinishwa na Mkuu wa Idara
7.Kuwa na barua ya utambulisho kutoka kwa Mkuu wa Taasisi yako (kwa halmashauri barua ni ya Mkurugenzi wa halmashauri)
NOTE:
1: Kama safari ni binafsi kwa matembezi/mapumziko, lazima uwe na barua ya likizo
2: Kama safari ni matibabu ni lazima uwe na vielelezo vinaelezea Ushauri wa Kitabibu na Rufaa ya Matibabu
3: Kama safari ya ni mafunzo ya muda mrefu ni lazima uwe na;
Barua ya Udahili
Barua ya Udhamini wa Masomo
Barua ya Mwaliko
MUHIMU:
Nyaraka zote hizi ziwe zimefanyiwa scanning kwenye format ya PDF

4. KUJAZA FOMU


Mfumo unakuelekeza namna ya kukamilisha kujaza fomu mpaka mwisho. Ukiwa na nyaraka (documents) zilizoanishwa hapo mwanzo, zoezi la kujaza fomu linakuwa fupi. (Melekezo ya jinsi ya kujaza fomu yanatolewa na Afisa TEHAMA aliyekusajili kwenye mfumo)
KUMBUKA: zoezi la kujaza fomu linafanyika kuanzia hatua ya mwanzo hadi ya mwisho kwa wakati mmoja. Maana yake ni kwamba ili uanze kujaza fomu ni lazima uwe na nyaraka zilizotajwa hapo mwanzo.
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu, utawasilisha fomu yako kwa njia hii ya mtandao kwa kubonyeza neno WASILISHA.
Maombi yako yatakuwa yametumwa kwenye mamlaka husika kwa kufanyiwa kazi.

5. MAJIBU YA MAOMBI YA KIBALI



  • Majibu ya maombi ya kibali chako utayapata kwa njia mtandao kama ulivyofanya katika kutuma maombi ya kibali.
  •  Pia unaweza Unaweza kufuatilia maombi kwa njia ya simu, Andika neno KIBALI acha nafasi ikifuatiwa na Namba ya kumbukumbu (Mfn: KIBALI V12345678) halafu tuma kwenda 15200. Ujumbe mmoja utakugharimu Tsh. 100 tu!


Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni February 27, 2023
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi Manispaa. Ya Kigamboni vyapokea mikopo

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • DC BULEMBO ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    February 25, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa