Ili kupata Leseni ya Biashara mfanyabiashara atatakiwa kuwasilisha viambatisho vifuatavyo katika Ofisi ya Biashara iliyopo katika Jengo la ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Kigamboni pamoja na kujaza fomu unayoweza kuipakua hapo chini
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa