• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Kibali cha Ujenzi


1.    KIBALI CHA UJENZI

Kulingana na sheria ya ujenzi wa majengo mijini si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza jengo jipya bila ya:

(i)    Kutuma maombi kwa mamlaka ya mji

(ii)    Kuwasilisha michoro ya jengo na kumbu kumbu husika.

(iii)    Kupata kibali kwa maandishi 'kinachoitwa “kibali cha ujenzi.”


2.    KIBALI CHA AWALI (Planning consent)

Inashauriwa kupata kibali cha awali kabla ya kuomba kibali cha ujenzi.  Hivyo muendelezaji anatakiwa aandae mchoro wa awali (outline plan) kwa utaratibu unaotakiwa ukionyesha aina ya ujenzi utakao kusudia kufanya ili aweze kupata ridhaa ya kuendelea na hatua za kuanda michoro ya mwisho.

Faida:

•    Kuokoa muda wa gharama iwapo michoro ya mwisho itaonekana kuwa na dosari za kitaalamu ambazo zitahitaji kufanyiwa marekebisho.

•    Kuwa na uhakika kuhusu mahitaji muhimu ya kuzingatiwa wakati michoro inaandaliwa.


3.    JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA KIBALI CHA UJENZI

Baada ya michoro kukamilika iwasilishwe ikiwa kwenye majalada kwa namna ambayo inawezekana kufunguliwa na kusomeka.  Michoro hiyo iwasilishwe kwa utaratibu ufuatao

•    Seti tatu za michoro ya jengo (architectural drawing)

•    Seri mbili za michoro ya vyuma (Structural drawing) kwa michoro ya ghorofa


4.     MICHORO ILIYOANDALIWA IONYESHE NINI ?

Michoro iliyoandaliwa inatakiwa ionyeshe mambo yafuatayo:

•    Namna jengo litakavyokuwa (plans sections, elevation,  foundation and roof plan).

•    Namba na eneo la kiwanja kilipo.

•    Jina la mmiliki ardhi inayohusika.

•    Jina la mchoraji ujenzi na anwani.

•    Ukubwa wa jengo kwa mita za mraba.

•    Ujazo wa kiwanja (Plot coverage).

•    Uwezo (Plot ratio)

•    Matumizi yanayo kusudiwa.

•    Idadi ya maegesho yatakayo kuwepo.

•    Umbali wa jengo kutoka kwenye mipaka ya kiwanja (atbacks)

•    Mfumo wa kutoa maji taka hadi kwenye mashimo


5.    VIAMBATANISHO

•    Fomu za maombi zilizo jazwa kwa usahihi

•    Hati ya mmiliki wa kiwanja au barua ya  toleo

•    Kumbu kumbu zingine zinazohusu kiwanja hicho kama hati ya mauzo, makabidhiano n.k

•    Nakala za risiti ya kodi ya kiwanja ya sasa.

•    Mabadiliko ya matumizi ya ardhi kama muombaji amebadilisha matumizi ya awali  


6.    HATUA ZINAZOFUATA KATIKA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA KIBALI

Zifuatazo ni hatua zinazofuatwa wakati wa kuchunguza michoro hiyo:

•    Uhakiki wa miliki

•    Kukaguliwa usanifu wa michoro.

•    Kukagua kiwanja kinachokusudiwa kuendelezwa.

•    Uchunguzi wa matumizi ya jengo na uwiano.

•    Uchunguzi wa maofisa wa afya.

•    Uchunguzi wa mipango ya uondoaji wa maji taka.

•    Uchunguzi wa tahadhari za moto.

•    Uchunguzi wa uimara wa jengo.

•    Kuwasilisha kwenye kikao cha mipango miji na mazingira baada ya kukamilisha taratibu zote.

•    Hatimaye kuandika na kutoa kibali



Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • MANISPAA YA KIGAMBONI IMEPOKEA VITI MWENDO 35 NYENYE THAMANI YA TSH MIL 8

    April 08, 2025
  • MKANDARASI TOKA SUMA JKT ATAKIWA KUANZA MAPEMA MAANDALIZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA TUNGI

    April 08, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amefanya ziara ndani ya Manispaa ya Kigamboni

    March 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa