Sunday 22nd, December 2024
@
Mwenge wa uhuru Maalumu Utawasili katika Wilaya ya Kigamboni siku ya Jumamosi tarehe 21/08/2021 na kupokelewa Eneo la Darajani Kata ya Vijibweni na kutembelea, kukagua na Kuzindua miradi mbalimbali, Baada ya hapo Mwenge utakesha katika Uwanja wa Swala uliopo Mtaa wa Tuamoyo Kata ya Kigamboni, ambapo kutakuwa na burudani za kutosha na wasanii mbalimbali. Wananchi wote mnakaribishwa.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa