• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Uuzaji wa Viwanja Kigamboni

11 April 2017

Katika mpango wa kuhakikisha mji unapangwa kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria za mipango miji, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, anawatangazia wananchi  kuwa, anauza viwanja zaidi  ya 6000 vilivyopimwa vyenye matumizi mbalimbali vikiwemo Viwanda, viwanja hivyo viko katika kata ya Kisarawe II, Somangila, Kimbiji na Pembamnazi.


    Fomu za maombi ya kumiliki kiwanja zitauzwa kwa Tshs. 20,000/= katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa  ya Kigamboni 

       zilizopo Mjimwema.

    Idadi ya fomu zitakazouzwa ni sawa na idadi ya viwanja vilivyopimwa.

    Waombaji ambao si raia wa Tanzania wanapaswa kupata  kibali toka T.I.C

    Viwanja vyote vina fikika kwa urahisi. Aidha Barabara zote za ndani ya mradi zimeshafunguliwa na baadhi-

        vina miundombinu ya maji na umeme.

    Fomu za maombi ya kiwanja zitaanza kutolewa tarehe 18 - 25/04/2017 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri
       Fomu hiyo pia unaweza kuipakua hapa ( Fomu ya Maombi ya Kiwanja) na Kuilipia Katika ofisi ya Manispaa baada ya kuijaza

     Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 28/04/2017 saa 9 alasiri.


         Imetolewa na:


Stephen E. Katemba

 MKURUGENZI WA MANISPAA

KIGAMBONI



Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la usafi August 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KIGAMBONI WATAKIWA KUWASHIRIKISHA WANANCHI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    September 08, 2025
  • WACHIMBAJI NA WASAFIRISHAJI WA MADINI YA UJENZI WATAKIWA KULIPA USHURU NA KODI ZA SERIKALI

    September 04, 2025
  • WANANCHI KIGAMBONI WATAKIWA KUFANYA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME MAJUMBANI

    September 03, 2025
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ameongoza kikao cha Lishe

    August 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa