Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anapenda kuwatangazia waliofaulu usaili wa nafasi za kazi ya udereva daraja la II uliofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Kigamboni tarehe 20-21/11/2022.
kwa maelezo zaidi pakua https://kigambonimc.go.tz/storage/app/uploads/public/637/eff/402/637eff4029133319750087.pdf
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa