• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Uwekezaji Kilimo

FURSA MBALI MBALI ZA UWEKEZAJI KWENYE ENEO LA KILIMO NA UMWAGILIAJI


Skimu ya Umwagiliaji Nyange ambayo inahitaji uwekezaji kwa kushirikiana wa wakulima waliopo eneo hili lenye ukubwa wa hektari 139.0 zinazofaa kwa kilimo .

Bustani iliyopo Gezaulole yenye ukubwa wa ekari ishirini na tano (25.0) ya kuzalisha miche na mazao ya aina mbalimbali

Uzalishaji wa mazao ya kilimo kwenye eneo la ukubwa wa hektari 21000  yanayotumiwa na wakulima  na  ziada kuuzwa kwenye masoko ya nje na ndani

MAZINGIRA YA HALI YA HEWA

Kwa ujumla hali ya hewa ni ya joto na hali ya unyevunyevu karibu kwa kipindi chote cha mwaka

  Hali ya mvua

Kwa wastani mvua ni kati ya milimita 850 kwa mwaka. Mvua ni za misimu miwili ambapo mvua kubwa zimekuwa zikinyesha katikati ya mwezi Februari hadi Mei na mvua nyepesi hunyesha kati ya kipindi cha Oktoba hadi Januari. Kiwango cha mvua hizo ni 58.8% (508milimita) kwa miezi ya katikati ya Februari hadi Mei na kwa kiwango cha 41.2% (4725 milimita) kwa miezi ya Oktoba hadi Januari. Kipindi cha ukame ni miezi ya Juni hadi Septemba.

   Hali ya joto

Kiwango cha chini cha joto ni 25oC, na kiwango cha juu ni 35oC na likizidi sana ufikia 38oC.

Hali ya unyevu (humidity)

Hali ya unyevunyevu huwa kati ya 38% hadi 93%

 HALI YA KILIMO

Katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kilimo kinachofanyika ni ukulima wa aina mbili ambao ni kilimo cha pembezoni mwa mji (peri urban agriculture) na kilimo mjini (urban agriculture). Maeneo yanayolimwa ni yale ambayo yametengwa na wakulima kwa ajili ya kazi hii, pia katika sehemu ambazo hazijaendelezwa kwa kukodiwa na wakulima au kutumiwa na wanaozimiliki kufanya shughuli za kilimo. Hata hivyo, kadiri mji unavyokua wakulima wanalima kilimo mjini/maghorofani kwa kutumia vifaa mbalimbali ambavyo ni kama mifuko, ndoo, pia wana lima vijibustani vidogo pembezoni mwa makazi, kandokando ya barabara na sehemu zilizo wazi zinazosubiriwa kuendelezwa. Shughuli za kilimo zinachangia katika usalama wa chakula kwa kaya kwa kiwango cha asilimia 30%. Kaya zinazofanya shughuli za kilimo ni 3941 zenye wakulima 12120 na hektari zinazolimwa mazao mbalimbali zinakadiriwa kuwa ni 21000.

Kilimo cha mazao mbalimbali:

Mazao yanayolimwa kwa ajili ya  chakula ni:

Muhogo, viazi vitamu, mpunga,  mahindi, mboga mbalimbali zikiwa ni  pamoja na  mchicha, matembele, nyanya, mbaazi, mikunde, bamia, matango, nyanya chungu, kabeji mchina, bilinganya, pilipili hoho na kali na matunda mbalimbali yakiwa ni pamoja na embe,mapapai, matikiti maji, na mananasi.

 Mazao yanayolimwa kwa ajili ya  biashara ni:

 Minazi, miembe, mikorosho,  muhogo, viazi vitamu, mahindi, mpunga,   mboga mbalimbali zikiwa ni  pamoja na  mchicha, matembele, nyanya, mbaazi, mikunde, bamia, matango, nyanya chungu, kabeji mchina, bilinganya, pilipili hoho, pilipili kali uyoga, na matunda ambayo ni michungwa, minanasi, mipapai, migomba, matikiti maji na mistafeli. Michikichi, maua, miti ya mapambo na vivuli, ukoka  pia vinalimwa.

Eneo la kilimo:

 Ukubwa wa maeneo yanayofaa kwa ajili ya kilimo cha mazao yaliyoainishwa ni kama ifuatavyo:


ZAO               HEKTARI

1.Mpunga          3040.0

2.Muhogo           5120.0

3.Mahindi           500.0

4.Mboga            11,500.0

5.Minazi            360.0

6.Michikichi        480.0

JUMLA21000.0

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KATIBU TAWALA WILAYA YA KIGAMBONI AWAUNGA MKONO WAJANE, ATOA PONGEZI KWA USHIRIKI WAO KWENYE MAENDELEO

    June 23, 2025
  • Watumishi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutoa huduma bora kwa Wananchi

    June 13, 2025
  • Manispaa ya Kigamboni yatwa Makombe 9 UMITASHUMTA na 15 UMISSETA ngazi ya Mkoa

    June 12, 2025
  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa