KATA SOMANGILA
Kata hii ipo pwani ya bahari ya Hindi, Kata hii ina jumuisha Mitaa (13) kumi na mitatu. Kata hii inapakana na kata ya Mjimwema. Upande wa kusini, Magharibi inapakana na kata ya Kiasarawe II na upande wa Kaskazini inapakana na Kata ya Kimbiji na upaande wa Mashariki ina pakana na Bahari ya Hindi. Kata hii ina Fukwe yenye mchanga laini, Kuna Hotel kadhaa kama vile
Sura ya ardhi ya eneo hili ni tambarare haina milima na ardhi yenye mchanga unaopitisha maji kirahisi,
Wananchi wa maeneo haya hujishughulisha na shughuli za Uvuvi, Biashara cha Kilimo cha matikiti maji, mihogo na mbogamboga,
Uongozi
Ofisi ya Kata ya Somangila zipo Mtaa wa dege ambapo ndipo palipo makao makuu ya kata. Kata hii pia ina vyama vya maendeleo ya wananchi wenyewe kama vive umoja wa kuzuia uvuvi haramu, Vyama vya kukopa na kuweka, na Chama cha kutunza Mzingira.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa