• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Ujenzi wa Shule mpya ya Kigamboni Sekondari

Start Date: 2018-03-16
End Date: 2019-12-31

Kigamboni Shule ya Sekondari ni shule mpya kwenye Kata nzima ya Kigamboni , kata ya Kigamboni haijawahi kuwa na shule ya Sekondari tangu kuanzishwa kwa Manispaa. Hadi kukamilika kwa ujenzi huu kiasi cha milioni 317 kinatarajiwa kutumika, Ambapo Serikali kuu imetoa fedha kiasi cha milioni 100 kutoka kwenye mfuko wa malipo kulingana na matokeo ( PAY FOR RESULTS EP4R) Kwa mwaka wa fedha 2018/2019. Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imetoa fedha kiasi cha milioni 217 kutoka kwenye mapato yake ya ndani ili kukamilisha ujenzi huo.

Aidha kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Manispaa ya Kigamboni imetenga kiasi cha shilingi milioni 100 kwaajili ya kumalizia miundombinu ya vyoo, samani na ofisi z awali za waalimu zitakazowawezesha kuanza kazi mwakani.

Ukamilikaji wa jengo hilo la shule kutasaidia wanafunzi wa Kata ya Kigamboni wanaofaulu kujiunga na Kidato cha kwanza kupata shule ya karibu ya kujiunga nayo na hivyo kupunguza umbali mrefu kufata shule walizopangiwa waliokuwa wanaoupata hapo awali kabla ya kutokuwepo kwa shule hiyo.

Shule mpya ya Kigamboni Sekondari inatarajiwa kuanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza kuanzia Januari 2020 


Muonekano wa Jengo kwa mbele Muonekano wa jengo kwa upande

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KATIBU TAWALA WILAYA YA KIGAMBONI AWAUNGA MKONO WAJANE, ATOA PONGEZI KWA USHIRIKI WAO KWENYE MAENDELEO

    June 23, 2025
  • Watumishi wa Manispaa ya Kigamboni watakiwa kutoa huduma bora kwa Wananchi

    June 13, 2025
  • Manispaa ya Kigamboni yatwa Makombe 9 UMITASHUMTA na 15 UMISSETA ngazi ya Mkoa

    June 12, 2025
  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa