• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Wananchi Manispaa ya Kigamboni watakiwa kuwekeza katika ufugaji wa Samaki

Posted on: January 6th, 2021

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Pauline Gekul  amewataka Wananchi wa Manispaa ya Kigamboni kujiajiri katika ufugaji wa Samaki ili kujipatia kipato na kukuza uchumi wa viwanda kupitia usindikaji.

Mheshimiwa Gekul ametoa wito huo katika ziara yake aliyoifanya leo ndani ya Manispaa ya Kigamboni ambapo alitembelea kiwanda cha utotoleshaji wa vifaranga vya samaki  na uuzaji wa Samaki cha Big Fish kilichopo kata ya Kibada ambapo alijionea shughuli mbalimbali za uzalishaji katika kiwanda hicho.

Aidha katika ziara hiyo Naibu Waziri ametoa wito kwa Manispaa ya Kigamboni kutumia fursa ya uzalishaji wa Samaki kwa kutenga bwawa moja la samaki ambalo litakabidhiwa kwa makundi maalumu ya kinamama, Vijana na Walemavu ikiwa ni njia ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi.

Sambamba na hilo ameahidi kutatua changamoto zinazowakabili wafugaji wa Samaki kwa kuziondoa kodi zote ambazo kero hususani katika uagizaji wa vifaa  na vyakula vya Samaki vinavyoagizwa kutoka nje ya nchi.


Mheshimiwa Naibu Waziri akitembelea mabwawa ya Samaki  katika kiwanda

Mheshimiwa Naibu Waziri akiwasili katika kiwanda cha Big fish Kata ya Kobada

Matangazo

  • TANGAZO LA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI YA AFYA YA HALMASHAURI NA KAMATI ZA AFYA ZA VITUO MANISPAA YA KIGAMBONI. December 03, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA KIGAMBONI December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • LEAT kushirikiana na Serikali kutatua changamoto za kimazingiraa kwa ustawi wa afya za wananchi

    January 20, 2021
  • Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango wapongeza Menejiment kwa usimamizi mzuri wa miradi.

    January 19, 2021
  • "Pikipiki hizi zitumike kuboresha utendaji kazi wa Serikali na si vinginevyo" Katibu Tawala Kigamboni,

    January 14, 2021
  • DC Sara awashukuru Kampuni ya KC kwa msaada wa mifuko ya simenti100

    January 07, 2021
  • Angalia Zote

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Kigamboni Manispaa
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa