• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

WADAU WATAKIWA KUSAIDIA MAKUNDI MAALUM

Posted on: May 19th, 2020

“Kwa niaba ya Manispaa ya Kigamboni napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kutambua  mahitaji ya makundi maalumu haswa katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa Corona, pia natoa wito kwa wadau wengine kujitoa katika kuisaidia Jamii.”

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni  Ndugu. Ng’wilabuzu Ludigija wakati akipokea msaada uliotolewa leo na Taasisis ya Wanawake  wasanifu Majengo uliokabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisis hiyo Mhandisi Victoria Marwa kwaajili ya kituo cha kulea Wazee cha Nunge kilichopo katika Kata ya Vijibweni.

Aidha  msaada uliotolewa ni pamoja na Ndoo za kunawia mikono 25, Unga wa sembe kilo 100,      Barakoa /Mask 100, Sanitaizer chupa 25, Mafuta ya kupikia lita 60, Toilet paper katoni 10, Ngao za uso katoni 5, Miche ya sabuni 25, Chumvi katoni 1, Maharage kilo 50, Sukari kilo 40, Mchele kilo 200, pamoja na Njugu mawe kilo 50.

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO KWENYE MAENEO YAO

    July 15, 2025
  • WALIMU WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MFUMO WA MANUNUZI YA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BOOST

    July 15, 2025
  • Wananchi wajitokeza kwenye banda la Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kujionea na kujifunza shughuli za ujasiriamali

    July 07, 2025
  • KATIBU TAWALA WILAYA YA KIGAMBONI AWAUNGA MKONO WAJANE, ATOA PONGEZI KWA USHIRIKI WAO KWENYE MAENDELEO

    June 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa