Utawala
Kata hii ina jumuisha Mitaa ifuatayo Kichangani, Kigogo, Ngomamapinduzi, Vumilia ukooni, Chekeni Mwasonga, Tumaini, Sharifu, Mkamba, Lingato, Madenge, Mwaniga
Diwani
Diwani wa kata hii ni Mh. Issa Hemedi Zahoro.
Shughuli za kiuchumi
Wenyeji wa kata hii ni wakulima wadogowadogo na wafanya biashara ndogondogo.
Kata ya Kisarawe II ina maeneo ya Uwekezaji katika viwanda ambopo kwa sasa kuna viwanda kadhaa, ikiwemo Kiweanda cha Maziwa, kiwanda cha maji, Ranchi na kuna Kituo cha kutunza wanyama (Dar es salaam Zoo).
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa