|
Hii ni moja kati ya Maeneo ya Uwekezaji ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Iko Kamata Kariakoo |
|
|
Katika ene la chang'ombe Kuna nyumba 3 za Halmashari ya Manispaa nyumba ambazo Halmashauri inatafuta wawekezaji ilikufanya uwekezaji wa majengo ya Ofisi na Biashara na hata makazi.
|
|
|
Eneo la Mtoni kwa Azizi Ali lina majengo ya zamani ya Halmashauri ya Kigamboni majengo hayo kwa sasa ya natumika kama maegesho ya Magari, Kigamboni inatafuta wawekezaji kuwekeza katika maeneo haya.
|
|
|
Halmashauri ya Manispaa Kigamboni inayo eneo zuri la Manispaa kwa ajili ya uwekezaji wa majengo ya Ofisi, Nyumba za kupanga na hata sehemu za biashara.
Eneo hili liko Masaki katika Ukandi wa Bahari ya Indi kwa mawasiliano zaidi namna ya kupata taarifa Ofisi ya Uwekezaji Kigamboni Box 36009 Tell: +25522928468, email: Info@kigambonimc.go.tz |
|
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa