Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Kigamboni anawatangazia watoa huduma na wananchi wote (Walipwaji) kuwa malipo
kwa njia ya cheki yamesitishwa, badala yake malipo yote yatafanyika kwa njia ya TISS( Tanzania Interbank settlement System).
Kutokana na mabadiliko haya wote wanaotarajia malipo katika Manispaa ya Kigamboni watatakiwa kujaza fomu ya uhakiki wa Taarifa
(Vender Verification form). Ilikupata taarifa sahihi za Mteja ikiwa na taarifa sahihi za Kibenki.
Fomu hiyo inaweza kupatikana kwenye link hii: Vendor Varification Form
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa