MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA KWAAJILI YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 24 NOVEMBA 2019 LITAANZA TAREHE 8 HADI 14 OKTOBA 2019.
Kwa maelezo zaidi ya kujua vituo vya kujiandikishia kwenye mtaa wako bonyeza linki ifuatayo
http://www.kigambonimc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d9/b00/ffe/5d9b00ffed6a2051797594.pdf
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255713297256
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa